raisi wa Afrika kusini,Jacob Zuma |
Raisi wa Afrika kusini bwana Jacob Zuma anatarajiwa kuanza ziara ya siku tatu hapa nchini.ujio wa raisi zuma unatarajiwa kuwa fursa kwa uchumi wa Tanzania hasa katika sekta ya uwekezaji kwani Afrika kusini ndio nchi Barani Afrika iliyo na uwekezaji mkubwa zaidi hapa nchini.Afrika kusini imewekeza zaidi katika sekta ya madini,viwanda na utalii.Ujio wa Zuma na ujumbe wake itakuwa fursa kwa wawekezaji wa kitanzania kujifunza namna ya kutumia fursa za kiuchumi zilizopo hapa nchini na Afrika kusini.
No comments:
Post a Comment