Kompyuta inayotumia SSD (Solid State Drive) ina kasi kubwa katika kuchakata taarifa tofauti na kompyuta yenye HDD (Hard Disk Drive), pia kompyuta yenye SSD (Solid State Drive) huuzwa ghali kuliko kompyuta yenye HDD (Hard disk Drive).
Unaweza kutumia kompyuta yako kwa mda mrefu na usijue aina ya uhifadhio (storage) iliyopo kwenye kompyuta hasa utawezaje kujua kama kompyuta yako inatuma SSD au HDD.
kwenye kompyuta yako bonyeza ” Window button +s ” au Bonyeza search bar kwenye taskbar kama inavyoonekana hapa chini.
Ukiwa kwenye sehemu ya kuandika, Andika neno “defrag” kisha chagua “Defragment & Optimize Drives”
Baada ya hapo utaona orodha ya vihifadhio (Drives) zikiwa zimeonyesha kama ni SSD (Solid State Drive) au kama ni HDD (Hard Disk D
No comments:
Post a Comment