• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Sunday, May 7, 2017

    LEO NI SIKU YA KUCHEKA KIMATAIFA


    Image result for laughing day
    Dunia leo inaadhimisha siku ya kucheka.Siku hii hutumiwa kote duniani kufanya matendo ambayo huamsha ari ya kucheka.Pamoja na umuhimu wa siku hiyo ,hapa kwetu Tanzania siku hii imeangukia wakati ambapo taifa linaomboleza vifo vya wanafunzi takribani 32 pamoja na walimu wao wawili vilivyotokea hapo jana wilayani karatu mkoa wa Arusha.
        Dawati la kibayaclassic linaendelea kutoa pole kwa ndugu na jamaa,familia na watanzania wote katika msiba huu mzito wa kitaifa .Mungu atupe moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu."Amina"

    No comments:

    Post a Comment