• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Friday, May 26, 2017

    THE ROCK ,KUWANIA URAI 2020

    Mwigizaji na mwanamiereka Dwayne 'The Rock' Johnson

    Dwayne 'The Rock' Johnson alitangaza kuwa atawania urais wa Marekani mwaka 2020 wakati akitumbuiza mashabiki wake katika kipindi maarufu cha Saturday Night Live.
    Mwigizaji maarufu Tom Hanks alikubali kuwa naibu rais.
    Baadaye, mwigizaji huyo anayelipwa mshahara mkubwa zaidi ulimwenguni alisema tangazo hilo lilikuwa la utani.
    Hata hivyo alisisitiza kwamba "Marekani inahitaji viongozi walio na uwezo wa kuongoza, wanaojali maslahi ya taifa hili na raia wake"

    No comments:

    Post a Comment