• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Friday, May 5, 2017

    MAKAMU WA RAISI AMEAGIZA UJENZI WA NYUMBA ZA WATUMISHI WA AFYA VIJIJINI

    Image result for SAMIA HASAN
    Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan ameziagiza halmashauri zote nchini zihakikishe zinajenga nyumba kwa ajili ya watumishi wa afya hasa maeneo ya vijijini na kipaumbele kitolewe kwa wakunga ambao mara nyingi ndio wanatoa huduma za dharura kwa wanawake wajawazito na watoto.

    No comments:

    Post a Comment