Waziri mwenye umri mdogo zaidi nchini Somalia ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Mogadishu.
Abas Abdullahi Sheikh Siraji aliyekuwa na miaka 31 ameuawa karibia na ikulu ya Rais.Ameongea waziri wa habari wa nchi ya somalia bwana Abdirahman Omar Osman ailipokuwa akizungumza na shirika la habari la VOA.Alipata umaarufu mkubwa baada ya kushinda kiti cha ubunge na kuiwakilisha Jubbaland.Amepigwa risasi akiwa ndani ya gari lake karibu kabisa na makazi ya rais mjini Mogadishu.
No comments:
Post a Comment