• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Sunday, May 21, 2017

    MSAFARA WA JKT RUVU WAPATA AJALI

    Image result for JKT RUVU

          Msafara wa Timu ya Ruvu Shooting Umepata Ajali mbele Kidogo ya Singida wakiwa safarini kurejea Dar es Salaam.
    Taarifa kutoka kwa mmoja wachezaji waliokuwapo Unasema kwamba gari likiwa katika Mwendo tairi lilipasuka na kusababisha gari kuhama Njia na kuparamia miti iliyokuwa jirani.
    Hakuna mtu yoyote aliyeumia sana japo kuna mchezaji mmoja ambaye amepata Majeraha ya kawaida.

    No comments:

    Post a Comment