Shirika la kijasusi la korea kaskazini KCNA limetoa taarifa leo kuwa shirika la upelelezi la marekani CIA na lile la korea kusini IS wanapnga njama za kumuua kiongozi wa taifa hilo KIM JONG UN.Katika taarifa hiyo iliyotolewa leo ijumaa KCNA wanasema mashirika hayo ya kijasusi ya marekani na korea kusini yanashirikiana na vikundi vya siri vya kigaidi kutaka kufanya shambulio la kemikali ya sumu ili kumuangamiza kiongozi wa nchi hiyo.
Hata hivyo madai ya korea kaskazini hayana ushahidi wa kutosha juu ya kile inachokida
No comments:
Post a Comment