Picha za CCTV zinazomuonyesha Salman Abedi usiku aliofanya shambulizi katika ukumbi wa Manchester na kuwaua watu 22 zimetolewa.
Maeneo 14 yanasakwa na wanaume 11 wamekamatwa kwa kushukiwa kuhusika katika ugaidi.Abedi alitambuliwa saa mbili baada ya shambulizi la siku ya Jumatatu.
Waziri mkiu Theresa May anasema kuwa kiwango cha tisho lililopo kimepunguzwa na wanajehsi waliotumwa kuwasaidia polisi wataondolewa kuanzia siku ya Jumatatu.
No comments:
Post a Comment