• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Thursday, May 4, 2017

    TAZAMA NDEGE HII YA CHINA INAYOANZA KURUKA LEO,NI ZAIDI YA BOENG.

      Ndege ya aina ya C919 inayotengeneza na China kuruka kwa mara ya kwanza leo
    Kampuni ya ndege ya kibiashara ya China(COMAC) imetangaza kuwa ndege kubwa ya abiria ya aina ya C919 inayotengeneza na China leo inaruka kwa mara ya kwanza katika uwanja wa nege wa Pudong, Shanghai, China.
    Ndege hiyo yenye teknolojia ya kisasa imetengenezwa kwa miaka 10 na kuvumbua teknolojia 102 mpya. Hivi sasa, makampuni 23 ya ndani na ya nje yameagiza ndege 570 za aina hiyo, ikiwemo kampuni ya huduma ya anga ya Marekani(GECAS).

    No comments:

    Post a Comment