WaAfrika kote duniani leo 25 Mei, wanaadhimisha siku ya Kiafrika.
Ni siku ya kusherehekea, lakini pia kutafakari tulikotoka na tunakokwenda.
Ni siku ya kusherehekea, lakini pia kutafakari tulikotoka na tunakokwenda.
Siku hii iliadhimishwa mara ya kwanza mnamo 1963 Ethiopia lilipoundwa Shirika la Umoja wa Afrika - OAU, lengo kuu ikiwa ni kutafuta uhuru wa mataifa ya Ki Afrika ambayo bado yalikuwa chini ya mkoloni katika miaka ya 60, kulinda uhuru, kushinikiza haki za binaadamu na kuiregesha hadhi na heshima ya WaAfrika.
No comments:
Post a Comment