• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Saturday, May 6, 2017

    AJALI YAUA WANAFUNZI 32 KARATU




    Ajali mbaya imetokea lao hii katika wailaya ya karatu ambapo moja kati ya mabasi ya shule ya Lucky Vicent Arusha yaliyokuwa yakienda katika mtihani wa ujirani mwema kupata ajali.Katika ajali hiyo inasadikika wanafunzi 29 ,dereva 1 na walimu 2 wamepoteza maisha.Wanafunzi hao pamoja na walimu wao walikuwa njiani kuelekea katika shule ya Tumaini Junior school iliyopo karatu.Ajali hii imetokea katika mlima rhotia majira ya saa nne asubuhi ya leo.Maiti na majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya RC Rhotia,kituo cha afya karatu dabaldi na hospitali teule ya wilaya ya karatu.
     Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi  na kujalia majeruhi wapone haraka"amina"

    No comments:

    Post a Comment