Kwa Picha: Meli ya kivita ya Marekani USS Fitzgerald ilivyoharibiwa
Picha za uharibifu uliotokea baada ya meli ya kivita ya Marekani USS Fitzgerald kugongana na meli ya mizigo
-
Manowari ya USS Fitzgerald iligongana na meli ya kubeba mizigo mwendo wa saa nane unusu usiku wa manane saa za Japan Jumamosi.
No comments:
Post a Comment