• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Wednesday, June 28, 2017

    CHILE WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA LA SHIRIKISHO

    Image result for chile nation team

    chile wametinga katika hatua ya fainali baada ya kuichapa ureno magoli 3 bila majibu.Magoli hayo yalipatikana katika mikwaju ya panati ambapo katika dakika 90 timu zote zilitoka sare tasa ya bila kufungana.Mwamuzi aliongeza dakika 30 lakini nazo zilimalizika kwa timu zote kwenda sare tasa.Katika hatua ya kupiga mikwaju ya penati ureno wamekosa penati zote huku chile wakipata penati tatu.
     Katika mchezo huu kulikuwa na vita kali kati ya washambuliaji mashuhuri duniani,christiano ronardo wa ureno pamoja na elexis sanches wa chile.Mbli na hao pia Vidal wa chile ameonekana mwiba mkali kwa ureno.Kwa matokeo hayo chile inasubiri mchezo kati ya ujerumani na Mexico utakaopigwa hapo kesho kuamua timu ya kukutana nayo katika fainali.

    No comments:

    Post a Comment