• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Wednesday, February 14, 2018

    Kifo cha Morgan Tsvangirai

    Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki akiwa na umri wa miaka 65,hayo ni kwa mujibu wa maafisa wakuu wa chama hicho cha Movement for Democratic Change MDC.
    Amekuwa akiugua saratani ya matumbo.
    Tsvangirai aliwahi kuhudumu kama waziri mkuu kwenye serikali ya mseto wakati wa utawala wa rais Robert Mugabe.
    Naibu mwenyekiti wa MDC Elias Mudzuri amesema amefahamishwa kuhusu kifo cha Tsivangirai na familia yake.

    No comments:

    Post a Comment