• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Monday, February 12, 2018

    BAADA YA MNYETI KUTAMKA HADHARANI KUWA HAWEZI KUSHIRIKIANA NA WAPINZANI,MASUJA WA CHADEMA AJIUZULU NA KUJIUNGA CCM.

    BAADA YA MNYETI KUTAMKA HADAHARANI KUWA HAWZI KUSHIRIKIANA NA WAPINZANI,MASUJA WA CHADEMA AJIUZULU NA KUJIUNGA CCM.
    [​IMG]
    Diwani wa Hayderer (Chadema) wilayani Mbulu mkoani Manyara, Justin Masuja amejiuzulu nafasi hiyo na kujiunga na CCM.

    Masuja amejiunga na CCM leo Februari 12,2018 katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti.

    Katika mkutano wa hadhara, Mnyeti aliwataka madiwani wa upinzani kuhamia chama tawala ili watekeleze ilani ya CCM ambayo ndiyo ipo madarakani.

    Diwani huyo amesema anajiunga na CCM ikiwa ni hatua ya kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli katika kuwatumikia wananchi.

    No comments:

    Post a Comment