Aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimajaro
Elvis Mosi kupitia chama cha demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),amesema atakata rufaa kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi mgombea wa CCM
Dr Godwin Molel.
Elvis amesema kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi hivyo atawasilisha malalamiko yake mahakamani.
Katika matokeo ya uchaguzi huo mdogo
Mosi alipata kura 5905 dhidi ya kura 25611 za Dr. Molel.
No comments:
Post a Comment