• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Thursday, June 23, 2016

    UINGEREZA YAJITOA UMOJA WA ULAYA

     kile kitendawili kilichokuwa kimezusha mjadala kwa muda mrefu,sasa kimepata jibu lake.Ni uingereza kujitoa katika umoja wa ulaya.Hapo jana wananchi wa Uingereza walipiga kura kuamua iwapo wabakie katika umoja huo au wajitoe,hatimaye matokeo yametangazwa huku wananchi 15,864,555. ambao ni sawa na asilimia 48% wakipiga kura ya kubaki katika umoja wa ulaya huku wananchi 17,061,744.ambao ni sawa na asilimia 52% wakipiga kura ya kujiondoa katika umoja huo wa ulaya.
           
       
    Kwa matokeo hayo sasa,uingereza ipo nje ya umoja wa ulaya na wasiwasi wa Dunia juu ya kuporomoka kwa uchumi wa Uingereza umeanza kujitokeza saa chache tu baada ya matokeo hayo ambapo Paundi ya Uingereza imeshuka thamani kwa kiwango ambacho hakijashuhudiwa kwa miaka mingi.

    No comments:

    Post a Comment