Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania wanaounda umoja wa katiba ya wananchi(UKAWA)leo hii walitoka nje ya bunge kwa staili ya aina yake.Wabunge hao mara maada ya spika wa bunge dr tulia Ackson kuanza kuendesha shughuli za bunge,walitoka nje huku wakiwa wamefunika midomo yao kwa katatasi na gundi.karatasi hizo zenye ujumbe mbalimbali ni ishara ya wabunge hao kuonyesha hisia zao kwa kunyimwa haki ya kusema na kuikosoa serikali bungeni.
Monday, June 20, 2016
Home
Unlabelled
UKAWA WAJA NA STAILI MPYA YA KUTOKA BUNGENI
No comments:
Post a Comment