• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Tuesday, June 14, 2016

    IBRAHIM LIPUMBA AJIBIWA




         Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif amejibu kitendawili kilichokuwa kikisubiri kuteguliwa .Mapema jana aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho na baadae kujiuzulu wadhifa huo pro.Ibrahimu lipumba alimuandika barua katibu mkuu wa chama hicho kuomba kutengua barua yake ya kujiuzulu ili arudi kuwa mwnyekiti wa chama hicho,hatua iliyosababisha kutokea kwa mgawanyiko ndani ya chama hicho kati ya wanaounga mkono kurudi kwake na wale wanaopinga.lakini leo hii katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalimu Sharif Hamad  ametegua kitendawili kwa kumtaka Lipumba kutafuta uwenyekiti katika vyama vingine kwani hana nafasi katika chama cha CUF.








    No comments:

    Post a Comment