• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Monday, July 4, 2016

    AJALI YAUA WATU 18 SINGIDA


            Mabasi mawili ya kampuni moja ya CITY BOYS yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu Zaidi ya 18 papo hapo.Mabasi hayo moja likiwa la kutoka Kahama kwenda Dar es salaam lenye namba za usajili T 247 na linguine kutoka Dar es salaam kwenda kahama lenye namba za usajili T 531 BCE  yemegongana katika eneo la Maweni kati ya Dodoma na Manyoni.taarifa rasmi ya waliokufa pamoja na majeruhi tunatarajia itatolewa hapo baadae na jeshi la polisi.

    No comments:

    Post a Comment