Raisi Magufuli amezuia maafisa 50 waliokuwa wasafiri kwa ajili ya kwenda kushiriki kwenye ziara ya Jumuiya ya Madola. Badala yake ameruhusu maafisa wanne tu na kuokoa jumla ya sh milioni 700 ambazo zingetumika kulipia posho za safari na kugharamia tiketi za ndege
Nini maoni yako?
No comments:
Post a Comment