Watu wasiojulikana wamevamia na kuchoma moto kituo cha redio cha HITS FM muda mfupi uliopita.Katika tukio hilo ,pia mtangazaji mmoja wa kituo hicho amejeruhiwa huku kituo kikiungua na kuteketea kabisa .Tutaendelea kukuletea habari hii kwa kina hapo baadae
No comments:
Post a Comment