Hata baada ya ufaransa kuweka hali ya tahadhari iliyokuwa ikidumu kutokana na shambulio lililofanywa na Islamic state,hiyo haikuwa kinga kwa raia kwani inaripotiwa kuwa watu Zaidi ya 80 wameuawa katika shambulio la kigaidi lililotokea katika mji wa nice nchini humo.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema Lori lililokuwa limebeba vilipuzi lilivamia umati wa watu waliokuwa katika sherehr ya kitaifa na kutokea mlipuko uliosababisha vifo vya watu hao.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema Lori lililokuwa limebeba vilipuzi lilivamia umati wa watu waliokuwa katika sherehr ya kitaifa na kutokea mlipuko uliosababisha vifo vya watu hao.
No comments:
Post a Comment