1. Burj Khalifa
Lilikamiklika mwaka 2010,lipo Dubai (umoja wa falme za kiarabu) lina ghorofa 163 na urefu wa mita 828.
2. Shanghai Tower
Lilikamilika mwaka 2014 .lina urefu wa mita 632.lipo China katika mji wa Shanghai.jengo hili pia lina sifa ya kuwa na lifti yenye kasi Zaidi,yenye uwezo wa kutembea kwa kasi ya mita 18 kwasekunde moja.
3. Makkah Clock Royal Tower
Lilikamilika mwaka 2012.lipo katika mji maarufu duniani kwa waumini wa dini ya kiislam yaani Makkah(Saud Arabia) .lina urefu wa mita 601.
4. Ping An International Finance Center
Lilikamilika mwaka huu 2016.lipo China katika mji wa Shenhen.Ni jengo la kibiashara na lina urefu wa mita 599.
5. Goldin Finance 117
6. Lotte World Tower
lilikamilika mwaka huu 2016.lipo katika mji wa Seoul (korea kusini)ni jingo refu Zaidi nchini humo.Lina urefu wa mita 556 .Ndani jingo hilo kuna hoteli za kifahari zenye hadhi ya nyota sita Zaidi saba.
Read More
Read More
7. One World Trade Center
jingo hili kabla ya kushambuliwa na magaidi katika tukio linalojulikana kama September 11,lilikuwa likishikilia nafasi ya nne duniani.Hata hivyo baada ya shambulio hilo ,jingo lilikarabatiwa upya na kuwa na urefu wa mita 541 likishikilia nafasi ya saba.jengo hili lipo nchini marekani katika mji wa new York.Ni kituo cha kimataifa cha biashara.
8. CTF Finance Centre
lilikamilika mwaka huu 2016.lipo Guangzhou na lina urefu wa mita 530.limesheheni sehemu za maofisi,hotel pamoja na maduka makubwa.
9. Taipei 101
lilikamilika mwa 2004.lipo katika mjiwa Taipei nchini Taiwan.Lina urefu wa mita 509.Tangu kukamilika kwake mwaka 2004 lilishika nafasi ya kwanza kwa urefu duniani hadi mwaka 2007 .
10. Shanghai World Financial Center
lilikamilika mwaka 2008.lipo katika mji wa Shanghai nchini China.ni jengo la kibiashara na lina urefu wa mita 493.
No comments:
Post a Comment