• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Thursday, May 5, 2016

    HII NDIO ORODHA YA VYUO VIKUU 100 BORA ZAIDI DUNIANI.

    Image result for harvard university press
     
            Orodha ya vyuo vikuu bora zaidi dunianai imetolewa (Times Higher Education)kwa kuangazia sifa za chuo husika.Mwaka huu kuna vyuo vikuuu 17 kutoka bara la Asia likiwa ni ongezeko la vyuo 10 ukilinganisha na mwaka uliopita ambapo bara hilo liliingiza vyuo saba tu katika orodha 100 bora.
            vile vile kwa mara ya kwanza nchi ya uchina imeingiza chuo kimoja katika 20 bora,ambapo chuo kikuuu cha tsingua university kutoka Beijing kimeshika nafasi ya 18.vyuo vikuu vya Marekani bado vinatawala orodha hiyo huku chuo kikuu cha harvard kikishika nafasi ya kwanza.

                   ORODHA HIYO NI KAMA IFUATAVYO.

    1 . Harvard University

    Marekani

    2 . Massachusetts Institute of Technology

    Marekani

    3. Stanford University

    Marekani

    4. University of Cambridge

    Uingereza

    5 . University of Oxford

    Uingereza

    6. University of California, Berkeley

    Marekani

    7. Princeton University

    Marekani

    8 . Yale University

    Marekani

    9. Columbia University

    United States of America

    10 . California Institute of Technology

    Marekani

    11. University of Chicago

    Marekani

    12 . University of Tokyo

    Japan

    13. University of California, Los Angeles

    Marekani

    14 . University of Michigan

    Marekani

    15 . Imperial College London

    Uingereza

    16 . University of Pennsylvania

    Marekani

    17. Cornell University

    Marekani

    18 . Tsinghua University

    Uchina

    19. ETH Zurich – Swiss Federal Institute of Technology Zurich

    Uswizi

    20 . University College London

    Uingereza

    21 . Peking University

    Uchina

    22. Johns Hopkins University

    Marekani

    23 . University of Toronto

    Canada

    24 . London School of Economics and Political Science

    Uingereza

    25. New York University

    Marekani

    26. National University of Singapore

    Singapore

    27. Kyoto University

    Japan

    28. Duke University

    Marekani

    29. University of Washington

    Marekani

    =30. University of Illinois at Urbana-Champaign

    Marekani

    =30. Lomonosov Moscow State University

    Urusi

    =30. Northwestern University

    Marekani

    33. Carnegie Mellon University

    Marekani

    34. University of Texas at Austin

    Marekani

    =35. University of Wisconsin-Madison

    Marekani

    =35. University of California, San Diego

    Marekani

    37. University of British Columbia

    Canada

    38 . University of Edinburgh

    Uingereza

    39. McGill University

    Canada

    =40. Georgia Institute of Technology

    Marekani

    =40. LMU Munich

    Ujerumani

    42. University of California, San Francisco

    Marekani

    43. King’s College London

    Uingereza

    44. Pennsylvania State University

    Marekani

    =45. University of California, Davis

    Marekani

    =45. University of Hong Kong

    Hong Kong

    =45. Seoul National University

    Korea Kusini

    48 . École Polytechnique Fédérale de Lausanne

    Uswizi

    =49. University of Manchester

    Uingereza

    =49. University of Melbourne

    Australia

    =49 . University of Minnesota

    Marekani

    51-60. Delft University of Technology

    Uholanzi

    51-60 . Heidelberg University

    Ujerumani

    51-60 . Humboldt University of Berlin

    Ujerumani

    51-60 . Karolinska Institute

    Sweden

    51-60. University of Maryland, College Park

    Marekani

    51-60. University of North Carolina at Chapel Hill

    Marekani

    51-60. Ohio State University

    Marekani

    51-60. Osaka University

    Japan

    51-60. Purdue University

    Marekani

    51-60. Technical University of Munich

    Ujerumani

    61-70. University of Amsterdam

    Uholanzi

    61-70. Australian National University

    Australia

    61-70 . École Normale Supérieure

    Ufaransa

    61-70. KU Leuven

    Ubelgiji

    61-70 . Michigan State University

    Marekani

    61-70. University of Southern California

    Marekani

    61-70. University of Sydney

    Australia

    61-70 . Tohoku University

    Japan

    61-70. Washington University in St Louis

    Marekani

    71-80. Boston University

    Marekani

    71-80 . Brown University

    Marekani

    71-80. University of California, Santa Barbara

    United States of America

    71-80 . Chinese University of Hong Kong

    Hong Kong

    71-80 . Free University of Berlin

    Ujerumani

    71-80. Fudan University

    Uchina

    71-80. Hong Kong University of Science and Technology

    Hong Kong

    71-80. University of Pittsburgh

    Marekani

    71-80 . Shanghai Jiao Tong University

    Uchina

    71-80. Texas A&M University

    Marekani

    81-90 . Indiana University (Bloomington)

    Marekani

    81-90. Korea Advanced Institute of Science and Technology (KAIST)

    Korea Kusini

    81-90. Leiden University

    Uholanzi

    81-90. London Business School

    Uingereza

    81-90 . Nanyang Technological University

    Singapore

    81-90. National Taiwan University

    Taiwan

    81-90 . Pierre and Marie Curie University

    Ufaransa

    81-90. RWTH Aachen University

    Ujerumani

    81-90 . Saint Petersburg State University

    Urusi

    81-90. Tokyo Institute of Technology

    Japan

    81-90 . University of Warwick

    Uingereza

    81-90. Zhejiang University

    Uchina

    91-100. Arizona State University

    Marekani

    91-100. University of Colorado Boulder

    Marekani

    91-100. École Polytechnique

    Ufaransa

    91-100. Insead

    Ufaransa

    91-100. Lund University

    Sweden

    91-100. Moscow Institute of Physics and Technology

    Urusi

    91-100. Panthéon-Sorbonne University – Paris 1

    Ufaransa

    91-100 . University of São Paulo

    Brazil

    91-100 . Utrecht University

    Uholanzi
    91-100. Wageningen University and Research Centre
    Uholanzi

    No comments:

    Post a Comment