Naibu spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania DK TULIA ACKSON amelazimika kuahirisha bunge baada ya vurugu kuzuka bungeni hapo.vurugu hizo zinadaiwa kuibuka mara baada ya ya spika wa bunge kukataa kujadiliwa kwa hoja ya dharira iliyowasilishwa na wabunge wa upinzani ,kupinga kufukuzwa kwa wanachuo zaidi ya 7000 wa chuo kikuu cha dodoma.
Mapema juzi serikali ilitoa agizo kwa wanafunzi wa chuo hicho katika kitengo maalumu cha ualimu wa sayansi,hisabati na teknolojia kuondoka mara moja hadi hapo watakapojulishwa kuhusu hatma yao.Baadhi wabunge wa upinzani wamedai kuwa wanafunzi hao hasa wa kike wamegeuka kuwa machangudoa kutokana na kukosa fedha za kujikimu pamoja na nauli za kuwarudisha makwao.
Kaa karibu na tovuti yako ya kibayaclassic kwani tunaendelea kufuatilia kwa kina juu ya jambo hili

No comments:
Post a Comment