• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Wednesday, May 4, 2016

    ASHA ROSE MIGIRO ATEULIWA KUWA BALOZI UINGEREZA

    Image result for asha rose migiro
         Mwanasiasa mkongwe ambaye pia amewahi kuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa DR Asha Rose Migiro,ameteuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini uingereza.Rais Dr John Pombe magufuli amefanya uteuzi huo mapema leo hii na balozi migiro anatarajiwa kuapishwa kesho katika ikulu ndogo ya rais iliyopo mjini Dodoma.Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini uingereza anarudi nyumbani nchini Tanzania.
          

    No comments:

    Post a Comment