• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Wednesday, May 4, 2016

    CHURA YA SNURA YAPIGWA MARUFUKU.


        Serikali imeufungia wimbo na video ya 'CHURA' ya msanii kupigwa kwenye chombo chochote cha habari, maeneo ya wazi na kwenye kumbi mbalimbali na pia Snura amefungiwa kufanya maonyesho ya wazi kwa sababu imebainika kwamba hana kibali toka BASATA.
         Pia mammlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imeagizwa kuhakikisha wimbo huo haupatikana katika mitandao ya kijamii hasa mtandao wa YOUTUBE.Pia serikali imesema yoyote atakayejihusisha kwa namna yoyote katika kuusambaza katika mitandao ya kijamii kama facebook,whatsapp na mingineyo,atashtakiwa kwa sheria ya makosa ya kimtandao.

    No comments:

    Post a Comment