• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Wednesday, April 5, 2017

    RAPA ROMA MKATOLIKI AKAMATWA AKIWA STUDIO



    Mwanamuziki mahiri wa miondoko ya RAP Roma Mkatoliki amekamatwa usiku wa kuamkia leo akiwa katika studio za TONGWE Records.Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanamuziki na mbunge Joseph Haule amsema kuwa Roma alikamatwa jana majira ya saa moja na nusu usiku na watu wanaosadikwa kuwa ni maafisa wa polisi na kupelekwa kusikojulikana.
       Pamoja na kukamatwa kwa Roma pamoja na watu wengine wawili pia watu hao waliondoka na lap top ya ofisi pamoja na tv.Hadi sasa hakuna taarifa rasmi za sababu za kukamatwa na mahali alipo.

    No comments:

    Post a Comment