#UCHAGUZI2015:Mgombea Ubunge wa Muda mrefu wa jimbo la Bunda Mh.Steven Wasira aliyekuwa akitetea kiti chake na kunyang"anywa na Bi.Ester Bulaya kwa wingi wa kura amesema hakubaliani na ushindi aliopatiwa Bulaya katika jimbo hilo kwa kuwa yeye anatosha bado kuwatumikia wananchi jimboni humo.
No comments:
Post a Comment