Muungano wa upinzani chini Tanzania UKAWA umesema kuwa baada ya tume ya uchaguzi kisiwani Zanzibar kufutilia mbali matokeo ya eneo hilo Uchaguzi wote nchini Tanzania unafaa kufutiliwa mbali.
Hayo yanakuja baada ya tume ya ya uchaguzi visiwani Zanzibar kufutilia mbali matokeo yote katika eneo hilo,hivyo UKAWA wanasema kuwa hawatakubali matokeo ambayo yatatangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi kwani yatakuwa yanaifanya Zanzibar kuwa kama nchi iliyojitenga na hivyo kumaanisha kuwa muungano umevunjika.Viongozi wa ukawa wanakutana leo hii jioni kujadili jambo hilo.
No comments:
Post a Comment