• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Sunday, January 28, 2018

    UTARATIBU MPYA KWA WANUFAIKA WA MIKOPO YA HESLB

    Bodi ya mikopo  kwa wanafunzi wa elimu ya juu(HESLB) inawataarifu wanafunzi wote ambao tayari ni wanufaika wa mikopo ya bodi hiyo kuwa wanatakiwa kuendelea kuingiza taarifa kwa njia ya mtandao kupitia  click here hadi tarehe 31 januari 2018.

    Wanafunzi wanufaika wanapaswa kufanya yafuatayo
    • tembelea click here
    • fungua link click here to start mwanzo mwa ukaribisho
    • weka namba yako ya mtihani wa kidato cha nne na mwaka uliofanya mtihani mfano S234.007.2017
    • weka namba yako ya akaunti ya benki inayotambuliwa na bodi
    • ingiza neon jipya la siri na uthibitishe
    • weka picha yako ya vipimo vya ukubwa katika pixel 120 x 150
    • Zoezi hili halitahusisha wanufaika wapya wa mwaka wa masomo 2017/2018

    Imetolewa na :
    Kitengo cha Habari,Elimu na Mawasiliano
    BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
    Tarehe 26/01/2018

    No comments:

    Post a Comment