Ubomoaji wa jengo la makao makuu ya shirika la umeme Tanzania(TANESCO)lililopo eneo la ubungo jijini Dar es salaam unakadiriwa kutumia takribani Tsh,milioni 700.Gharama hizo zimekuja kutokana na teknolojia kubwa inayohitajika kutumika ili kubomoa majengo yanayotakiwa tu na kutoleta madhara kwa majengo mengine.
Jengo hili maarufu kwa wakazi wa jiji na wale watokeao mikoani linabomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara ya morogoro.
No comments:
Post a Comment