Ujenzi wa reli ya kisasa kati ya Isaka-Kigali kuanza Oktoba
Ujenzi wa reli ya kisasa kati ya Isaka-Kigali unatarajiwa kuanza mwezi Oktoba, lakini Burundi imejiondoa kwenye makubaliano ya mradi huo.
Waziri wa miundo mbinu wa Rwanda James Musoni na waziri wa Tanzania wa mawasiliano, sayansi na teknolojia Makame Mbarawa walizindua mradi huo Januari 20.
...
Nao marais wan chi hizo mbili John Magufuli Tanzania na Paul Kagame wa Rwanda waliwakata waliopewa kandarasi ya mradi huo kuharakisha utekelezaji wake.
Waziri wa uchukuzi wa Rwanda Jean Deu Uwihanganye amesema gharaa ya mradi huo wa kilomita 521 kati ya Isaka-Kigali ilipanda kwa dola milioni 700 na kufikia dola bilioni 2.5 kutokana na mfumko wa bei
Waziri wa uchukuzi wa Rwanda Jean Deu Uwihanganye amesema gharaa ya mradi huo wa kilomita 521 kati ya Isaka-Kigali ilipanda kwa dola milioni 700 na kufikia dola bilioni 2.5 kutokana na mfumko wa bei
No comments:
Post a Comment