Mwanahisa wa mtandao wa jamii media Co LTD, Micke William (27) amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu na kuunganishwa katika kesi mbili zinazomkabili mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa jamii forums, Maxence Mubyazi za kuzuia uchunguzi wa jeshi la polisi.

No comments:
Post a Comment