Timu ya yanga imefanikiwa kuichapa maji maji ya mjini songea kwa jumla ya mabao 3-0 katika mwendelezo wa ligi kuu Tanzania bara.Magoli ya yanga yalifungwa na deus kaseke huku nyota watimu hiyo amis Tambwe akitoa adhabu kwa kutupia mawili katika dakika ya 80 na 85
No comments:
Post a Comment