Hadi sasa kuna taarifa zisizo rasmi za kufariki watu Zaidi ya 20 katika mikoa ya Kagera,na mwanza.Hata hivyo tunasubiri ripoti kamili kutoka kwa vyombo vinavyohusika hapo baadae.
Saturday, September 10, 2016
Home
Unlabelled
APDATES>>>>TAARIFA ZA AWALI KUHUSU VIFO VILIVYOTOKANA NA TETEMEKO LA ARDHI
No comments:
Post a Comment