• KIBAYACLASSIC

    The voice of Africa

    Monday, March 19, 2018

    BALAA LINGINE KWA WATUMIAJI SIMU,MWEZI MACHI MWISHO WA MATUMIZI,ANGALIA HAPA KUHAKIKI SIMU YAKO.


    Image result for playstore
    kampuni ya google inayomiliki duka la program mtandaoni "PLAYSTORE" inatarajiwa kufungia simu na vifaa vyote ambavyo havijathibitishwa na kampuni hiyo kutumia programu yake  ya Play store.kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na google,ni kwamba hadi kufikia mwishoni mwa mwezi machi mwaka 2018 simu na vifaa vingine visivyothibitishwa vitafungiwa kutumia program hiyo.

                  NAWEZAJE KUJUA KIFAA CHANGU KIPO :CERTIFIED"AU LA.
    1. Ingia Playstore na ubonyeze MENU.
    2.Settings
    3.Device certification
    Hapo simu yako inatakiwa isome"certified"
     kama simu yako imeandikwa "uncertified" nini maana yake?


    • kifaa chako hakina ulinzi mathubuti
    • kifaa chako hakitapata masasisho(updates)za program endeshi(android)
    • program zote unazotumia hazina kibali na hazitambuliki na google apps.
    • mfumo mzima wa simu au kifaa chako haufanyi kazi sawa sawa.
    • Buckup ya taarifa zako haufanyiki kwa njia zilizo salama kwa hiyo unakuwa upo hatarini katika uhifadhi wa taarifa zako.
    NINI UNATAKIWA KUFANYA KAMA SIMU YAKO NI UNCERTIED.
    Unatakiwa kujua kuwa baada ya muda huo,hakuna namna ya kuifanya play store ikafanya kazi kwa njia ya kawaida.Pia kuna uwezekano pia Android system nayo ikashindwa kufanya kazi hivyo simu yako ikawa haina kazi tena.
    UTAJUAJE VIFAA VILIVYOTHIBITISHWA NA KAMPUNI HUSIKA?
    Kujibu swali hili nimekuandalia orodha ya vifaa ambavyo vipo certified na unaweza kuvinunua bila kuwa na shida na tatizo la namna hii.orodha hii ni kama ifuatavyo.
    Acer,ADVAN DIGITAL,AllView,Aktice,ANS.Archos,Asus,Beeline,BLU,BOOST,BQ,Bullitt Group,CAT,Cell C,Clementoni,COMIO,Condor,Coolpad,CUBOT,DANEW,DIGILAND,DL,Docomo,Doro,EMATIC,ESI ENTERPRISES<Essential,ESTAR,Fly,Freetel,Fujitsu,General mobile,Gigaset,Gionee,Hisense,Honeywell,HOW,HTC,Huawei,Infocus,IVOOMI,JUST5,KD interactive,KDDI,Kyocera,LAIQ,Lanix,Lenovo,LG,Logicom,LYF,M4Tel,Medion,Micromax,Mint,Mobicel,MOBIISTAR,Mobiwire,Motorola,MTN group,MTS,Multlaser,Myphone(PH),MYPHONE(PL),NABI,NAVON,NEC,Nffos,Nextbook,NGM,Nokia,Nvidia,OnePlus,Oppo,Orange,Panasonic,PARTNER,Plaisio,PLUSONE,positivo,prestigio,PROSCAN,quantum,RCA,Samsung,SANGFEL,shrp,SMARTAB,smartfren,sony,SPICE,sprint,TCL(ALCATEL),THOMSON,TIM,TOSHIBA,Transion,VERIZONE WIRELESS,Vestel,Vivo,Vodafone,Vonino,Wiko,wileyfox,xiaomi,True,ZEBRA,ZTE,Zuk.

    Endapo kifaa chako hakipo katika orodha hiyo basi hadi mwishoni mwa mwezi  machi 2018 hutopata huduma za playstore na ukawa na uwezekano mkubwa kutopata pia huduma ya Android.

    share ujumbe huu kadiri uwezavyo pamoja na wale uwapendao

    Imeandikwa na Frank Lungwa.

    No comments:

    Post a Comment