Moja ya teknolojia ambazo zinakua kwa kasi ni pamoja na teknolojia ya kompyuta.Teknolojia hii imekuwa ikikua na kujaribu kutatua changamoto kadha wa kadha zinazoikabili.Kutokana na changamoto hizo sasa kumekuja kifaa kinachoweza kukusaidia endapo kompyuta yako imekuwa ikifanya kazi taratibu sana au hata kuharibika hard Disk Drive,au inawezekana kompyuta yako ni toleo la zamani sana kiasi kwamba hupati kasi inayohitajika na dunia ya leo katika kifaa chako.
Extra pc ni kifaa chenye uwezo wa kuifanya kompyuta yako kuwa na kasi Zaidi.Watengenezaji wa kifaa hiki wamekipigia chapuo na kudai kuwa ni suluhisho kwa wanaofikiria kununua kompyuta mpya kutokana na kompyuta zao kuwa na matatizo yaliyotajwa hapo juu.Kifaa hiki kilicho mfano flash disk kinaifanya kompyuta yako kuwa mpya kabisa na kufanya kazi kwa kasi Zaidi.
Vile vile kifaa hiki huweza kufanya kazi katika kompyuta yako bila hata hard disk drive kwenye kompyuta.

Nini cha kufanya pindi ununuapo kifaa hiki
1.chomeka extra pc katika USB port ya kompyuta yako ikiwa imezimwa
2.Washa kompyuta yako na chagua:Boot from Usb,and bingo your good to go:
3.Baada ya kama dakika 15 utapata muonekano mpya kabisa wa kopyuta yako
bei ya kifaa hiki ni ndogo sana,kwa sasa kinauzwa dola za kimarekani 24.99 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania 52,500 tu.
Ukiwa unatumia kifaa hiki unaweza kufanya kila kitu kama vile
1.kutumia huduma za internet
2.kushere kwenye mitandao ya kijamii
3.kutazama video
4.kucheza games
5.kuandika na kutuma e-mail
6.kuongeza program nyingine uzitakazo na mengineyo mengi.
imeandikwa na Frank Lungwa
.
No comments:
Post a Comment