Raisi Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amevunja baraza la mawaziri katika kile kinachoonekakana kama juhudi za awali za kuunda serikali mpya na kjaribu kuinua uchumi wa Zimbabwe uliodidima kabisa.Taarifa zaidi zitawajia baadae hii leo

No comments:
Post a Comment