Waziri wa habari,sanaa,utamaduni na michezo mh Nape Mnauye amevisimamisha kwa muda usiojulikana vituo viwili vya redio kwa madai ya kurusha taarifa za uchochezi.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam Nape ametangaza kukifungia kituo cha redio cha radio 5 cha jijini Arusha na magic fm cha jijini dar es salaam,marufuku hiyo inaanza mara moja.
No comments:
Post a Comment